Facebook

Friday 27 February 2015

Chelsea Kutoka Samsung hadi Yokohama

"Kutoka Samsung hadi Yokohama....

Mabingwa watarajiwa wa ligi kuu ya England, Capital one cup na Uefa champions league wameingia mkataba mnono na kampuni ya Yokohama utakaoifanya klabu hiyo kuanza kuiweka logo ya  Yokohama kwenye jezi zao mapema msimu ujao..

mkataba huo mpya ni zaidi ya mara mbili wa ule wa awali ambao klabu ya chelsea ilikuwa ikikusanya  kama paundi milioni 18 kwa mwaka lakini huu mpya utaifanya chelsea kukusanya kama paundi milioni 40 kwa mwaka na kuwatupa mbali Arsenal, liverpool na man city kwenye mikataa ya udhamini.

Yokohama walivutiwa na ukweli kuwa katika mitano iliyopita timu pekee iliyofanya vizuri kimataifa Nchini England ni chelsea pia msimu uliopita klabu iliyotazamwa mara nyingi zaidi kwenye televisheni pale England ni chelsea hivyo kuamua kufanya nao biashara...

Tutegemee mapinduzi makubwa kisoka na kiuchumi baada klabu hii ya chelsea kushika reli na kujiweka tayari kuzitupa klabu ambazo hapo zamani zilikuwa kubwa...ktbffh"
Vinara wa Ligi kuu ya England,wameingia mkataba mnono na kampuni ya Yokohama utakaoifanya klabu hiyo kuanza kuiweka 'logo' ya Yokohama kwenye jezi zao mapema msimu ujao.
Mkataba huo mpya ni zaidi ya mara mbili wa ule wa awali ambao klabu ya Chelsea ilikuwa ikikusanya paundi milioni 18 kwa mwaka lakini huu mpya utaifanya chelsea kukusanya Paundi milioni 40 kwa mwaka na kuwatupa mbali Arsenal, Liverpool na Man city kwenye mikataa ya udhamini.

Yokohama walivutiwa na namna klabu ya Chelsea  inavyofanya vizuri kimataifa na Nchini England 
Tutegemee mapinduzi makubwa kisoka na kiuchumi katika timu za Uingereza baada ya timu mbalimbali kuingia mikataba minono na makampuni mbalimbali.

0 comments:

Post a Comment