Facebook

Tuesday 24 February 2015

BantuTz LIVESTREAMING:-ANGALIA MECHI ZOTE ZA LEO LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA {UEFA} KUPITIA SIMU,TABLET AU COMPUTER YAKO.




 

 Kwa mara nyingine tena kupitia BantuTz LiveStreaming utaangalia Mechi zote za leo Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya.'LiveStreaming' kupitia Simu,Computer au Tablet yako. Utaangalia mechi hizo bila kukwama au kukatika kwa matangazo ya mechi hizo hata kidogo.Utafurahia kuangalia mechi hiyo kama utatumia Computer ya aina yoyote ile.Nunua bundle la shilingi 1000 Tigo au Airtel kisha jiunge 'Unlimited Bundle'-Airtel na 'Bila
Kikomo Bundle'-Tigo vivyo hivyo kwa watumiaji wa Vodacom.


22:45-00:45 MANCHESTER CITY vs FC BARCELONA - ETIHAD STADIUM:-BantuTz Livestreaming Channel 1


 22:45-00:45 JUVENTUS FC vs BORRUSIA DORTMUND -TURIN:-BantuTz Livestreaming Channel 1

Tutaendelea kukuonyesha mechi nyingi kadri tuwezavyo.Endelea kufurahia huduma kutoka BantuTz LIVESTREAMING.Ni katika njia bora kabisa za kukurahisishia huduma na kupanua wigo wa utoaji huduma zetu.Kwani katika mtandao wetu mpya tutakaouzindua hapo mwezi Juni tutakuwa na sehemu maalumu itakayokuwezesha kuangalia michezi mbalimbali live.

0 comments:

Post a Comment