Facebook

Wednesday, 25 February 2015

BantuTz LIVESTREAMING:-ANGALIA MECHI ZOTE ZA LEO J'5 LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA {UEFA} KUPITIA SIMU,TABLET AU COMPUTER YAKO.

 
Kwa mara nyingine tena kupitia BantuTz LiveStreaming utaangalia Mechi zote za leo Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya.'LiveStreaming' kupitia Simu,Computer au Tablet yako. Utaangalia mechi hizo bila kukwama au kukatika kwa matangazo ya mechi hizo hata kidogo.Utafurahia kuangalia mechi hiyo kama utatumia Computer ya aina yoyote ile.Nunua bundle la shilingi 1000 Tigo au Airtel kisha jiunge 'Unlimited Bundle'-Airtel na 'Bila
Kikomo Bundle'-Tigo vivyo hivyo kwa watumiaji wa Vodacom


BOFYA LINK HAPA CHINI UWEZE KUANGALIA MECHI HIZO. 




22:45-00:45 ARSENAL vs AS MONACO - EMIRATES STADIUM:-BantuTz Livestreaming Channel 1



22:45-00:45 BAYERN LEVERKUSEN vs ATLETICO MADRID-BAY ARENA:-BantuTz Livestreaming Channel 1 










*TUTAONGEZA LINKS HIVI PUNDE,ENDAPO LINK MOJA ITASUMBUA TAFADHALI BOFYA LINK NYINGINE

Tutaendelea kukuonyesha mechi nyingi kadri tuwezavyo.Endelea kufurahia huduma kutoka BantuTz LIVESTREAMING.Ni katika njia bora kabisa za kukurahisishia huduma na kupanua wigo wa utoaji huduma zetu.Kwani katika mtandao wetu mpya tutakaouzindua hapo mwezi Juni tutakuwa na sehemu maalumu itakayokuwezesha kuangalia michezi mbalimbali live.

Related Posts:

  • Ratiba Ligi Kuu Uingereza RATIBA | England - Premier League Kesho Jumamosi 17:00 Hull City vs Crystal Palace 17:00 Leicester City vs Burnley 17:00 Liverpool vs West Bromwich Albion 17:00 Sunderland vs Stoke City 17:00 Swansea City vs Newcastle Uni… Read More
  • Clash of the Titans...Chelsea Vs Manchester CityUsithubutu kunywa uji wa mgonjwa...Wala mtoto hatotumwa dukani majira ya saa 12:00 Jion kwa masaa ya Afrika Mashariki mtanange kati ya Vijana wa Darajani,The Blues almaarufu kama Chelsea watakapopambana na The Citizen,Manches… Read More
  • RATIBA YA MECHI LIGI KUU YA UINGEREZA .BantuTz SPORTS RATIBA YA MECHI LIGI KUU YA UINGEREZA LEO HII 14:45 Liverpool vs Everton 17:00 Chelsea vs Aston Villa 17:00 Crystal Palace vs Leicester City 17:00 Hull City vs Manchester City 17:00 Manchester United vs West… Read More
  • Mourinho amponda Lampard. Mouringo akimuongelea Lampard baada ya kufunga bao lililopelekea matokeo dhidi ya City kua 1-1. 'Alipoamua kujiunga na wapinzani wetu tunaochuana nao kuwania ubingwa, hadithi za mapenzi zikaisha. Amefanya kazi yake (kufunga)… Read More
  • John Stones nje hadi 2015 Beki wa Everton na timu ya taifa ya England John Stones huenda asicheze hadi mwakani baada ya kuthibitishwa kuwa anahitaji kufanyiwa upasuaji katika kifundo cha mguu. Stones, 20, aliumia katika mchezo dhidi ya Mancheste… Read More

0 comments:

Post a Comment