Dondoo muhimu kuhusu kombe la dunia
Je wajua kwamba...
Ili kuhakikisha usalama wa watu wengi watakaokwenda Brazil kutazama
mechi, ndege zisizo na rubani zitatumika kufanya doria. Ndege hizo -
drones- aina ya PackBot 510 hutumiwa na jeshi la…Read More
Wachunguzi kukutana na maafisa wa soka Qatar
Uwanja ambao umepangiwa michuano ya kombe la dunia 2022 Qatar
Waandalizi wa kombe la dunia
mwaka 2022 nchini Qatar wanatarajiwa kukutana na mchunguzi wa shirikisho
la soka duniani FIFA, Michael Garcia hii leo huku k…Read More
Maajabu katika kombe la dunia Brazil mwaka huu..
Siku kumi kabla ya michuano ya Kombe la Dunia kuanza, tutaanza kuhesabu
siku zilizosalia kwa kutazama mawili matatu kuhusu michuano hiyo. Je unafahamu kuwa BRAZIL 2014: Hii itakuwa mara ya
kwanza teknolojia ya golini …Read More
0 comments:
Post a Comment