Facebook

Wednesday 25 February 2015

Ndoa ya staa wa 'Bongo movie' yavunjwa rasmi na mahakama kisa Gari la zawadi.

"NDOA ya staa wa filamu nchini, Salim Omary ‘Slim’ na mkewe Asia Morgan imevunjwa rasmi na Mahakama ya Mwanzo ya Magomeni jijini Dar kufuatia mgogoro wa muda mrefu. Hakimu aliamuru watalaka hao kugawana mali zote walizochuma pamoja likiwemo gari walilozawadiwa wakati wa harusi yao, ambalo ndilo lilikuwa chanzo cha mgogoro huo.

Unahisi kwanini ndoa za vijana wengi wa sasa hazidumu. hakuna upendo wa kweli, tamaa zinasumbua au unahisi nini?"

NDOA ya staa wa filamu nchini, Salim Omary ‘Slim’ na mkewe Asia Morgan imevunjwa rasmi na Mahakama ya Mwanzo ya Magomeni jijini Dar kufuatia mgogoro wa muda mrefu. Hakimu aliamuru watalaka hao kugawana mali zote walizochuma pamoja likiwemo gari walilozawadiwa wakati wa harusi yao, ambalo ndilo lilikuwa chanzo cha mgogoro huo.
Unahisi kwanini ndoa za vijana wengi wa sasa hazidumu. hakuna upendo wa kweli, tamaa zinasumbua au unahisi nini?

0 comments:

Post a Comment