Vanessa Mdee na Jux wote wapo nchini Afrika Kusini walikoenda kufanya
video ambayo hata hivyo hawajasema ni ya wimbo gani na kwa mujibu wa
picha wanazopost kwenye mitandao ya kijamii, wawili hao wanapeana
kampani ya nguvu.
Hawajawahi kukubali hadharani kuwa ni wapenzi lakini picha zinaonesha wazi kuwa mastaa hao wapo kwenye dimbwi zito la mapenzi.
Kupromote wimbo wake mpya ‘Nikuite Nani’, Jux amepost picha akiwa na
hitmaker huyo wa ‘Hawajui’ anayeonekana ‘akimchumu’ kwenye paji la uso.
Kabla ya picha hiyo, Jux alipost nyingine kadhaa akiwa na mrembo huyo katika pozi ambalo huwezi kuuliza kama ni marafiki tu.!
Hivi karibuni Vanessa Mdee aliiambia BantuTz kuhusu uhusiano wake
na Jux: I actually I like to keep my private life private. Nadhani kuna
baadhi ya mambo ambayo hayahitaji majibu.”
Jux na Vanessa wameongozana na Weusi na Navy Kenzo kwenye safari hiyo ya South.
Saturday, 28 February 2015
Vanessa Mdee na Jux wadhihirisha mahaba mazito wakiwa Afrika Kusini
Related Posts:
BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO FEBRUARI 25BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa katika ku… Read More
Madonna aanguka chini katika tuzo za Brits huko Uingereza. Tuzo kuu nchini Uingereza za muziki, the Brits, zimetolewa London. Ed Sheeran alichaguliwa kama msanii bora mwanamume wa kipekee Uingereza. Taylor Swift, alitajwa kama msanii mwanamke wa kimataifa wa kipekee. Katika sherehe … Read More
Ndoa ya staa wa 'Bongo movie' yavunjwa rasmi na mahakama kisa Gari la zawadi. NDOA ya staa wa filamu nchini, Salim Omary ‘Slim’ na mkewe Asia Morgan imevunjwa rasmi na Mahakama ya Mwanzo ya Magomeni jijini Dar kufuatia mgogoro wa muda mrefu. Hakimu aliamuru watalaka hao kugawana mali zote walizo… Read More
BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO FEBRUARI 26BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa katika ku… Read More
Mtanzani afurahia kufungwa kwa meneja wake kisa ya usafirishaji wa madawa ya kulevya Japan.Msanii wa muziki Iryn Namubiru ambaye mwezi Mei mwaka 2013 alikamatwa na dawa za kulevya huko Japan, hatimaye ametuliza moyo wake baada ya mtuhumiwa anayedaiwa kumbambikiza dawa hizo, Ueno Kim kuhukumiwa miaka 13 jela na fain… Read More
0 comments:
Post a Comment