Facebook

Wednesday 25 February 2015

UAMUZI WA FA JUU YA KADI NYEKUNDU YA MATIC.

"UAMUZI WA FA JUU YA KADI NYEKUNDU YA MATIC.

Chama cha soka cha nchini Uingereza FA kimeamua kupunguza adhabu inayomkabili kiungo wa Chelsea Nemanja Matic baada ya kuoneshwa kadi nyekundu na mwamuzi Martin Antikson kufuatia kumsukuma mshambuliaji wa Burnley Ashley Barnes kwenye mchezo wa ligi kuu nchini humo wikiendi iliyopita.

Matic alitakiwa kutumikia adhabu ya kuikosa michezo 3 yaani ule wa fainali ya capital one dhudu ya Spurs tarehe 1 march, Westham na SOTON kabla ya kutoa utetezi wake, lakini baada ya Chelsea kukata rufaa dhidi ya uamuzi huo FA leo kiliamua kumpunguzia adhabu Matic ambapo kwa sasa atakosa michezo 2 na si 3 kama ambavyo ilivyoripotiwa hapo mwanzao.

Ataukosa dhid ya Spurs na Westham. Jambo hili lilionekana halikupokelewa kwa moyo mkunjufu na Chelsea kwasababu walitegemea adhabu hiyo ingepungua zaidi."
Chama cha soka cha nchini Uingereza FA kimeamua kupunguza adhabu inayomkabili kiungo wa Chelsea Nemanja Matic baada ya kuoneshwa kadi nyekundu na mwamuzi Martin Antikson kufuatia kumsukuma mshambuliaji wa Burnley Ashley Barnes kwenye mchezo wa ligi kuu nchini humo wikiendi iliyopita.
Matic alitakiwa kutumikia adhabu ya kuikosa michezo 3 yaani ule wa fainali ya capital one dhudu ya Spurs tarehe 1 march, Westham na SOTON kabla ya kutoa utetezi wake, lakini baada ya Chelsea kukata rufaa dhidi ya uamuzi huo FA leo kiliamua kumpunguzia adhabu Matic ambapo kwa sasa atakosa michezo 2 na si 3 kama ambavyo ilivyoripotiwa hapo mwanzao.
Ataukosa dhid ya Spurs na Westham. Jambo hili lilionekana halikupokelewa kwa moyo mkunjufu na Chelsea kwasababu walitegemea adhabu hiyo ingepungua zaidi.

0 comments:

Post a Comment