Facebook

Sunday, 22 February 2015

Mayweather kuzichapa na Pacquiao

Mwanamasumbwi raia wa Marekani Floyd Mayweather Junior ametangaza kuwa pigano lililosubiriwa kwa siku nyingi na mwanamasumbwi raia wa ufilipino Manny Pacquiao litafanyika mjini Las Vegas tarehe mbili mwezi Mei mwaka huu
Pambano hilo kati ya mabingwa hao wa unazi wa welterweight limekuwa likisubiriwa kwa miaka mitano.
 
Baada ya mazungmzo ya muda mrefu hatimaye kandarasi imetiwa sahihi.
Pigano hilo litakuwa la gharama kubwa zaidi ya historia ya dola milioni 250.
Wawili hao wanatajwa kuwa bora zaidi katika ndondi za uzani huo duniani.

Related Posts:

  • Van Gaal "Wachezaji walikataa kupiga Penati"     Kocha wa Uholanzi Louis van Gaal amesema wachezaji wake wawili walikataa kupiga penati ya kwanza katika mchezo wao wa nusu fainali dhidi ya Argentina katika Kombe la Dunia. Beki Ron Vlaar alijitolea ku… Read More
  • Mananchester United waanza mazoezi, wa"Mkopo" wote warejea.   MANCHESTER UNITED walianza Mazoezi rasmi kwa ajili ya Ziara ya Kabla Msimu Mpya ya huko Marekani na Wachezaji kadhaa waliokuwa nje kwa Mkopo Msimu uliopita wamerejea na kujumuika huko AON Training Complex Jijini … Read More
  • Van Gaal "Nafasi ya tatu haina maana"    Kocha wa Uholanzi Louis van Gaal amesema kumaliza Kombe la Dunia kwa kucheza kutafuta nafasi ya tatu "si haki". Mholanzi huyo, ambaye timu yake ilipoteza kwa Argentina kwa mikwaju ya penati, atakabiliana na … Read More
  • Ushindi wa Ujerumani wavunja rekodi za Twitter.    Ushindi wa Ujerumani wa 7-1 dhidi ya Brazil katika nusu fainali ya Kombe la Dunia umekuwa gumzo kubwa. Mchezo huo umekuwa jambo la kimichezo lililojadiliwa zaidi kwenye mtandao wa Twitter mpaka sasa. … Read More
  • Mashabiki wa Ghana wazamia Brazil     Zaidi ya mashabiki mia mbili wa soka kutoka Ghana walioingia Brazil kwenda kutazama Kombe la Dunia wameomba hifadhi ya ukimbizi nchini humo.     Polisi wa Brazil katika mji wa Caxias do Sul wa… Read More

0 comments:

Post a Comment