Facebook

Thursday 26 February 2015

Madonna aanguka chini katika tuzo za Brits huko Uingereza.

Tuzo kuu nchini Uingereza za muziki, the Brits, zimetolewa London. Ed Sheeran alichaguliwa kama msanii bora mwanamume wa kipekee Uingereza. Taylor Swift, alitajwa kama msanii mwanamke wa kimataifa wa kipekee. Katika sherehe hizo.
Madonna aanguka katika sherehe hizo
 
Mwanamziki Madonna akiwa ameanguka jukwaani katika tuzo za Brits
Hata hivyo muimbaji maarufu, Madonna alikumbwa na mkosi wa aina yake ambao ulimharibia siku baada ya kujikwaa katika ngazi na kuanguka mbele ya kadamnasi.

0 comments:

Post a Comment