Facebook

Sunday 22 February 2015

Luis Enrique:Barcelona walistahili kufungwa.


Kocha wa Barcelona mwenye umri wa miaka 44 Luis Enrique amesema timu yake ilistahili kufungwa kutokana na kiwango kibovu ilichokionesha hapo jana.
Tulicheza vibaya,tulistahili kupoteza mchezo wetu dhidi ya Malaga,"Alisisitiza Enrique.

Sasa barcelona itakuwa na wakati mgumu wa kuipiku Real Madrid endapo itashinda mchezo wake wa leo dhidi ya Elche kwani itakuwa nyuma kwa jumla ya point 4.
R.Madrid inaonekana iko bora zaidi kuliko Elche na inanafasi kubwa ya kushinda mchezo wa leo.
Dakika 90 zitaamua mchezo wa leo.

0 comments:

Post a Comment