Facebook

Monday 23 February 2015

Liverpool yazidi kupaa Ligi Kuu Uingereza.


Majogoo wa Liverpool leo wameonesha makucha yao katika mchezo wa ligi kuu ya England baada ya kuichapa timu ngumu ya Southampton mabao 2-0.
Mabao ya Liverpool yamefungwa na Philippe Coutinho dakika ya 3 na Raheem Sterling dakika 73.
Matokeo hayo yameifanya Liverpool ipande hadi nafasi ya 6 baada ya kufikisha point 45 nyuma ya Southampton yenye point 46 na kuiacha Tottenham Hotspur nafasi ya 7 ikiwa na point 44.
Katika nafasi ya 4 ipo Manchester United yenye point 47 na Arsenal inashika nafasi 3 ikiwa na point 48.
 
Katika mechi nyingine za leo katika ligi hiyo ni
Tottenham Hotspur 2 - 2 West Ham United
Everton 2 - 2 Leicester City
Southampton 0 - 2 Liverpool
Je, Liverpool ya msimu huu itaweza kuingia Nne Bora ya England?

0 comments:

Post a Comment