Facebook

Monday 23 February 2015

MEzZY B KUZIKWA LEO DODOMA


Mwili wa Msanii Mez B leo utapumizishwa katika nyumba yake ya milele katika makaburi ya Wahanga yaliopo Maili Mbili mjini Dodoma.Marehemu Mez B Anapewa heshima za mwisho katika Viwanja vya Mashujaa.

Comment ‪#‎RIPMEZB‬ na kumwombea apumzike salama.

0 comments:

Post a Comment