Facebook

Monday 23 February 2015

Jay Z asingiziwa mtoto wa nje ya ndoa.

"Rapa anayechipukia Rymir Satterthwaite anasema Jay z ni baba yake mzazi na anataka vipimo vya DNA. Kijana huyu mwenye miaka 21 anasema Jay Z alikuwa na mahusiano na mama yake kwenye miaka ya 90's .

Kwa kuwaangalia tu,je wanafanana au dogo anatafuta kiki?"

Rapa anayechipukia Rymir Satterthwaite anasema Jay z ni baba yake mzazi na anataka vipimo vya DNA. Kijana huyu mwenye miaka 21 anasema Jay Z alikuwa na mahusiano na mama yake kwenye miaka ya 90's .

Kwa kuwaangalia tu,je wanafanana au dogo anatafuta kiki? Acha comment yako hapa chini....

0 comments:

Post a Comment