Facebook

Wednesday 25 February 2015

WAKALI 10 KWA KULIPWA MISHARA MINONO LIGI KUU UINGEREZA MSIMU HUU.


Man utd , Chelsea, Manchester City na Arsenal ni vilabu vine pekee vilivyotoa wachezaji walioweka orodha ya wachezaji 10 bora ya kulipwa mishara minono Ligi kuu Uingereza kwa mwaka huu wa 2015.
Man utd imetoa mchezaji wliyeshika namba moja kwenye orodha hiyo nahodha wa timu hiyo muingereza Wayne Rooney anayelipwa kitita cha paundi 300,000 ambazo ni sawa na milioni 780 za kitanzania kwa wiki.
Man utd kwa ujumla imetoa wachezaji 4, Chelsea wachezaji 3, Manchester City 2 huku Arsenal ikitoa mmoja tu.
10 BORA KWA MISHARA.
1Wayne Rooney,Manchester United-Paundi 300,000. (Mil 780 Tshs).
2.Radamel Falcao, Manchester United-paundi 265,000. (Mil 689,000 Tshs)
3. Robin Van Persie, Manchester United-Paundi 250,000.(Mil 650 Tshs).
4.Yaya Toure, Manchester City-Paundi 240,000.(Mil 624,000 Ths)
5.Sergio Aguero, Manchester City-Paundi 225,000.(Mil 585 Tshs)
6. Francesco Fabregas,Chelsea-Paundi 200,000.(Mil 520 Tshs)
7.Angel Di Maria,Manchester United-Paundi 200,000.(Mil 520 Tshs)
8.Eden Hazard,Chelsea-Paundi 185,000.(Mil 481 Tshs)
9.Diego Costa,Chelsea-Paundi 185,000.(Mil 481 Tshs)
10.Mesut Ozil,Arsenal-Paundi 150,000.(Mil 390 Tshs).

KIPI KIMEKUSHTUA?

0 comments:

Post a Comment