Facebook

Friday 27 February 2015

Chamber Squad wamuenzi Mez B


 Wasanii wa muziki kutoka mkoani Dodoma na wale wanaounda kundi la Chamber Squad, wametumia wakati wao kuingia studio, na kutengeneza ngoma maalum kwa ajili ya kumuenzi Marehemu Mez B.

Rekodi hii inamhusisha ndani yake msanii wa muziki Noorah, Dark Master na baadhi ya wasanii kutoka mkoa wa Dodoma, kiItikio chake kikiwa na mstari wa hisia kabisa kutoka kwa Noorah “We used to be a big team, in the mainstream”, akikumbuka enzi za kundi hilo katika chati mbalimbali za bongo.
Zaidi kuhusiana na hili, Usikose kutazama Planet Bongo jumatatu saa 3 kamili usiku hapa EATV, ujionea kipindi maalum cha maziko ya mwanachemba, marehemu Mez B.

0 comments:

Post a Comment