Facebook

Thursday, 26 February 2015

Nuhu mziwanda aomba radhi kwa picha ya Ngono

 

Mwanamuziki Nuhu Mziwanda ambae ni mchumba wa mwanamuziki Shilole (Shishi baby) ameomba radhi jana kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kupost picha ambayo inaonyesha maungo ya ndani ya mpenzi wake huyo walipokuwa wakioga,picha hiyo
ilimuonyesha Shilole akiwa kifua wazi.Kwa mujibu wa Nuhu Mziwanda amesema kuwa alipost picha hiyo ili apate Kiki kwa ajili ya video yake mpya Zimataa ambayo bado haijatoka mpaka sasa.
Baada ya juzi usiku Nuhu mziwanda kupost picha hiyo kwenye ukurasa wake mashabiki zake walionyesha kutofurahishwa na kitendo hicho na wengihne kufikia hatua ya kutukana huku wengine wakidai kuwa amemdharirisha mpenzi wake huyo ambae ni mama wa watoto wawili.lakini baada ya hapo Nuhu aliifuta picha hiyo alipogundua hali ya upepo imekuwa tofauti na vile ambavyo yeye alidhania.
Anapenda mwenyewe kuzalilishwa huyo @shilolekiuno kwani ni picha yake ya kwanza???? ... nawapenda lakini wameniuziii toka wapost ule ujinga,na kujisahaulisha kama wee ni mama wa mabinti wakubwa tu sijui wanajifunza nini wakiona hizo picha..."Kapost mpenz wake yuko maziwa wazi yale sio mapenzi unaitwa uzalilishaji Wa wanawake Hao ni baadhi ya mashabiki waliotoa yao ya moyoni baada ya kuiona ile picha ya Nuhu wakiwa pamoja na Shilole.
"Naomba niombe radhi kwa waliochukizwa na picha niliopost usiku wa jana.Lakini naweza sema pia ile ilikuwa ni video yangu mpya ya wimbo wangu wa Zimataa.So ilikuwa ni promotion picture.Ila mwisho wa maneno yangu ni kuomba radhi kwa lililotokea."
Hata baada ya kuomba radhi hali ya mashabiki bado ilikuwa ileile ni watu walionyesha kukerwa na kitendo kile bado waliendelea kutukana na kusababisha hata post ya kuomba radhi pia kuifuta katika Accouny yake hiyo ya Instragram.

Related Posts:

  • Mnigeria aibuka bingwa wa dunia.Raia mmoja wa Nigeria ameushangaza ulimwengu wa mchezo wa kujenga maneno ya Kizungu, Scrabble, kwa kumshinda Mwingereza na kuibuka bingwa wa dunia.Wellington Jighere, 32, aliweka historia kwa kuwa Mwafrika wa kwanza kushinda … Read More
  • Lupita Nyong'o alamba dili lingine Ndani ya uhusika wake katika filamu huyo Lupita atavaa uhusika akitambulika kama Raksha ambayo taarifa zaidi ni kwamba filamu itaingia rasmi sokoni mwezi Aprili mwaka 2016, itahusisha pia mastaa wengine wakubwa k… Read More
  • Facebook yapata faida kubwa.Facebook imeandikisha faida kubwa ya dola $891m kati ya mwezi Julai na Septemba.Kampuni hiyo ya mtandao wa kijamii imeripoti ongezeko la asilimia 11% na na mapato ikilinganishwa na wakati sawa na hii mwaka uliopita. Mwaka wa … Read More
  • Ney Wa Mitego:Wasanii kukashifu viongozi itakuja kutu-Cost.Zikiwa zimebakia siku 31 kuelekea uchaguzi mkuu, msanii Nay wa Mitego amendika hivii; "Wasanii tubaki kua wahamasishaji tu!Kuanza kukashfu Viongozi utadhani labda nawewe umekua mwana Siasa au Mgombea itakuja kutu Cost baadae.… Read More
  • Ronaldo anunua 'Private Jet' kwa zaidi ya Bilioni 44. Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo anaripotiwa kutumia mkwanja mrefu kununua ndege binafsi, Staa h… Read More

0 comments:

Post a Comment