Facebook

  • Tutorial 1

    This is Trial

  • Tutorial 2

    This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • Tutorial 3

    This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

Saturday, 28 February 2015

Henry aitaman kazi ya Arsene Wenger

Mchezaji mkongwe wa Arsenal Thierry Henry amefichua kuwa ndoto yake kuu ni kumrithi Mkufunzi Arsene Wenger katika kilabu ya Arsenal. Mchezaji huyo wa zamani ambaye ndio anayeongoza kwa idadi ya mabao katika kilabu hiyo akiwa na magoli 228 aliripotiwa kupewa fursa ya kuanza kufunza soka katika...

UTAFITI:Wanaolala sana kuugua kiharusi

Watu wanaolala kwa zaidi ya masaa manane kwa siku wana uwezekano mkubwa wa kupata ugonjwa wa kiharusi,utafiti umesema lakini wataalam hawajua sababu yake. Utafiti uliofanywa kwa takriban watu 10,000 katika chuo kikuu cha Cambridge ulibaini kwamba wale wanaolala kwa takriban saa nane wana uwezekano...

Di Maria ajuta kujiunga na Man United

Mchezaji nyota ambaye pia ni kiungo wa kati wa Manchester United Angel Di Maria amesema kuwa alifanya makosa kujiunga na Kilabu ya Manchester United msimu uliopita. Raia huyo wa Argentina amejaribu kuendana na maisha ya ligi ya Uingereza na majuto yake yataongeza uvumi kwamba anapanga kuondoka...

UCHAMBUZI MECHI ZA LEO J'MOSI LIGI KUU UINGEREZA n HISPANIA NA Mr.CHOI {KWA TAARIFA YAKO}

  __________________________________________________ MANCHESTER UNITED vs SUNDERLAND 18:00                     Kama unakumbuka msimu uliopita katika mchezo kama huu uliyo fanyika Old Trafford tulishuhudia...

Ben Pol:Kiukweli Wanigeria Hawatuwezi Kimuziki

Msanii Ben Pol ambae kwa sasa anafanya poa na kazi yake mpya ya Sophia amefunguka na kusema kuwa wasanii wa Nigeria hawawawezi wasanii wa bongo kwa kipaji na kutengeneza ngoma kali na hilo amelithibitisha msanii Diamond Platnum ambae kwa sasa anafanya poa na wimbo wake wa Nitampata...

BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO FEBRUARI 28

BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma magazeti yote ya leo. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .  Endelea...

Vanessa Mdee na Jux wadhihirisha mahaba mazito wakiwa Afrika Kusini

Vanessa Mdee na Jux wote wapo nchini Afrika Kusini walikoenda kufanya video ambayo hata hivyo hawajasema ni ya wimbo gani na kwa mujibu wa picha wanazopost kwenye mitandao ya kijamii, wawili hao wanapeana kampani ya nguvu. Hawajawahi kukubali hadharani kuwa ni wapenzi lakini picha zinaonesha wazi...

Daktari wa Rais wa Rwanda auawa baada ya kupigwa risasi na Polisi Kigali-Rwanda.

 Polisi wamempiga risasi na kumuua daktari wa zamani wa Rais wa Rwanda Paul Kagame wakati akiwa katika kituo cha Polisi, Kigali. - Inasemekana akiwa na maaskari aliomba kwenda Msalani ambako aliruhusiwa, kisha aliporudi alitaka kupora silaha kwa askari, hivyo kusababisha kifo chake. Another...

Mmiliki wa Blog auawa kinyama Bangladesh

Mwanablogu mmoja mwenye asili ya Marekani na ile ya Bangladeshi- maarufu kwa maoni ya kumkana Mungu ameuawa kinyama alipozuru mji wa Dhaka. Avijit Roy - ambaye alikuwa akiishi Marekani - alikuwa amezuru mji huo mkuu wa Bangladeshi na mkewe kuhudhuria dhifa ya uzinduzi wa kitabu. Alikuwa amepokea...

Friday, 27 February 2015

Lupita Nyong'o aibiwa vazi lake la bei Mbaya

Nguo iliyobuniwa na kampuni ya Calvin Klein yenye thamani ya dola 150,000, na kuvaliwa na msanii maarufu wa kike Lupita Nyong'o katika tuzo za Oscar imeibiwa Hollywood . Gauni hilo lililobuniwa kwa namna ya pekee na kupambwa kiasilia na konokono weupe zaidi ya 6,000 toka baharini, lilichukuliwa kwenye hoteliya London magharibi mwa Hollywood. Lupita Nyong'o kutoka nchini Kenya aliibuka msanii bora...

Mwanaume ajitokea bikra siku ya wanawake duniani.

Mwanamume mmoja amejitolea kutoa ubikira wake wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wanawake. Sorin Gorgian Salinievcici mwenye umri wa miaka 24 amejitolea kuuza ubikira wake kwa pauni 1,476 baada ya kusoma kuhusu wanawake wanaofanya hivyo. Alielezea kuwa :''mimi husoma kuhusu wasichana wanaofanya...

MAAJABU:Upandikishaji wa kichwa sasa unawezekana

Unaposikia habari hii utadhani ni maudhui ya filamu ya kutisha ,lakini wanasayansi wanaamini upasuaji wa upandikishaji wa kichwa cha mwanadamu katika mwili mwengine huenda ukafanikiwa. Madaktari watazindua mradi huo katika kongamano wakati wa msimu wa joto ,kwa lengo la kuanzisha utaratibu huo mnamo...

Watu 17 wauawa kwa Bomu nchini Nigeria

Takriban watu 17 wameuawa kwa Bomu la kujitoa muhanga katika kituo cha mabasi mjini Biu, huku mtu mwingine aliyekuwa na nia ya kujitoa muhanga ameripotiwa kukamatwa na Watu na kupigwa mpaka mauti yakamkuta. Mjini Jos, Watu 15 waliuawa kwa mabomu matatu yaliyorushwa kutoka kwenye Gari katia eneo la...

Ndege ya Jeshi yaanguka na kuwaka moto uwanja wa ndege Mwanza, rubani anusurika!

Taarifa kutoka Mwanza Airport ni kuwa kuna ndege ya Jeshi imelipuka na kuteketea. Rubani wa ndege hii, ndg Peter Augustino kafanikiwa kuruka kwa parachuti na kunusurika ingawa inadaiwa kavunjika mguu na kukimbizwa hospitali. ...

Dkt. Magufuli aongoza wananchi kwenye majaribio ya uzinduzi wa kivuko cha MV Dar es Salaam

Leo Dkt.Magufuli amewaongoza wananchi wa Dsm kwenye majaribio ya uzinduzi wa Kivuko kipya Cha MV DAR ES SALAAM kitakachofanya safari zake kati ya Dsm na Bagamoyo, ambapo mamia ya wananchi walkiwana Waziri Magufuli wamesafiri bure kutoka Dsm kwenda Bagamoyo na kurudi. ...

AVEVA: Sina mpango wa kujiuzulu Simba.

Dar es Salaam. Wakati kuna madai ya mpasuko wa uongozi, ukata mkubwa na madeni kwenye klabu ya Simba, rais wa klabu hiyo Evance Aveva amesema ajiuzulu, wanaotaka afanye hivyo wafuate taratibu. Akizungumza na gazeti hili jana, Aveva alisema kuwa kuna vyombo rasmi ambavyo vinafanya kazi ndani ya klabu...