Facebook

  • Tutorial 1

    This is Trial

  • Tutorial 2

    This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • Tutorial 3

    This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

Wednesday, 31 December 2014

BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO DESEMBA 31

  BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma magazeti yote ya leo.   . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . ...

Monday, 29 December 2014

Korea Kazkazini yamtukana Obama

  Korea kaskazini imeilaumu Marekani kutokana na mataizo ya mtandao ambayo yameikumba siku chache zilizopita. Tume ya taifa ya ulinzi nchini Korea Kaskazini inasema kuwa Marekani inavuruga mifumo ya mitandao ya nchi hiyo huku ikimfananishi rais wa marekani Barack obama na tumbili wa misitu ya...

Aliyetaka kumuua Papa John Paul amuenzi

  Mwanamme mmoja raia wa Uturuki aliyempiga risasi na nusura amuue aliyekuwa kiongozi wa kanisa katoliki papa John Paul wa pili mwaka 1981 ameweka maua kwenye kaburi lake katika makao makuu ya kanisa katoliki ya Vatican. Ziara ya Mehmet Ali Agca kwenye makao ya Vatican inafanyika miaka...

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

  Waokoaji wamekuwa wakipambana na upepo mkali pamoja na mawimbi ya bahari gizani kuwakoa karibu abiria 300 ambao wamekwama ndani ya ferry moja ya Italia iliyokuwa imeshika moto kwenye bahari ya Adriatic. Maofisa nchini Italia wanasema kuwa oparesheni ya uokoaji itandelea.Hadi sasa watu 190 wamekolewa...

Shindano la Miss Tanzania lafungwiwa

  Serikali ya Tanzania imeyafungia kwa miaka miwili mashindano ya Miss Tanzania baada ya waandalizi kudaiwa kukiuka taratibu na kanuni. Mashindano hayo yaliofunguliwa mwaka 1994 yamedaiwa kuwa na upendeleo mbali na rushwa kulingana na malalamishi yaliotolewa na wananchi pamoja na washiriki. Kwa...

Roboti zapata ajira mgahawani China

  Mgahawa mmoja nchini China umeanza kutumia Roboti badala ya kuwaajiri hadimu au wafanyakazi wa hotelini kuwapakulia chakula na vinywaji wageni. Hebu tazama mambo yali...

Yule gwiji katika uandishi wa vitabu na mtaalamu wa fasihi,Ngugi wa Thiong'o atunukiwa shahada ya udaktari Ujerumani

Ngugi wa Thiong’o ametunukiwa shahada ya Udaktari wa heshima na Chuo Kikuu cha Bayreuth cha Ujerumani, huku vitabu vyake “Shetani Msalabani” na “Matigari” vikiwa vimempatia umashuhuri na mashaka pia nchini mwake. Hakuna anaetunukiwa tuzo ya udaktari wa heshma bila ya kuistahiki. Na Ngugi...

Ndege iliyopotea yaendelea kutafutwa

  Shughuli ya kutafuta ndege ya AirAsia ambayo ilipotea jana Jumapili imeendelea leo tena baada ya kusitishwa kwa muda. Watu 162 walikuwa kwenye ndege hiyo wakati ikipoteza mawasiliano na kituo cha kuelekeza safari za ndege. Ndege hiyo ilikuwa safarini kwenda nchini Singapore ikitokea mji wa...

Chris Brown Na Karrueche Tran Wamerudia rasmi.

Hivi karibuni wapenzi Chris Brown na Karrueche Tran wameteka vichwa vya habari kwa kugombana kwenye mitandao na kurushiana vijembe kuhusu mapungufu ya uhusiano wao na nani anasababisha. Jipya kuhusu hawa ndege wawili ni kwamba walikutana kwenye mkesha wa Krismass na kuongea machache kuhusu...

Filamu ya Interview yatikisa mitandaoni

  Kampuni ya Sony Picutues inasema kuwa - the interview - ambayo ni filamu yenye utata ya dhihaka kuhusu njama ya kumuua kiongozi wa korea kasakzini Kim Jong un imekuwa yenye mafanikio zaidi mtandaoni. Kampuni hiyo inasema kuwa filamu hiyo imenunuliwa na pia kukodishwa zaidi ya mara milioni...

Vigogo wa Ligi England waambulia sare

Vigogo Manchester City,Chelsea na Man United wamejikuta wakiambaulia sare katika michezo yao ya ligi ya England. Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Manchester City waliambulia sare baada ya kuruhusu timu ya Burnley kurudisha mabao mawili yaliyofungwa kipindi cha kwanza na mchezo kumalizika kwa sare...