Facebook

Sunday 7 December 2014

Mtanzania aibuka kidedea Shindano la BIG BROTHER AFRICA.

Huyu ndiye Mshiriki wa Tanzania katika shindano la BIG BROTHER,Idrissa Sultan ambaye ameibuka kidedea.

Amekuwa mshindi wa kwanza katika shindano la BBA na kujinyakukia kitita cha dola laki 3.

Tembelea www.bantutz.com tutakuandalia taarifa kamili hivi punde.

0 comments:

Post a Comment