Facebook

Friday 5 December 2014

KIM KARDASHIAN ATIA FORA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII

Ni skendo nyingine tena hii ambapo Kim Kardashian ameleta kipya tena kwenye internet ambapo picha yake akim-kiss mme wake Kanye West katika harusi yao imekuwa the most liked picture of 2014. Baada ya kupata likes 2.4 million
Nafasi ya pili ilienda kwa Justin Beiber na on-and-off girlfriend wake Selena Gomez ambapo alipata 1.9 million instagram likes,ambapo ilikuwa ni selfie matata.
Pia picha ya Ariana Grande na Miley Cyrus ilipata likes 1.84 million.Report hiyo  ilitolewa na mtandao wa Instagram hv karibuni.
By Samchris Swai

0 comments:

Post a Comment