Facebook

Thursday 4 December 2014

SIRI YAFICHUKA;KIM KARDASHIAN ALISHAWAHI KUAMBIWA HATOZAA

Katika interview aliyofanyiwa na gazeti la Elle UK ,reality star huyu alisema kuwa karibu madokta wa3 walishawahi mwambia kuwa hawezi kuzaa watoto

"A few years ago I was told I could never get pregnant," alisema "Three different doctors told me the same thing, which is why I wanted to have my eggs frozen. I was just about to do that when I found out I was pregnant with North."alizidi kuthibitisha .

Pia alisema ana mpango wa kuongeza watoto wawili kama wadogo wake wa North,anataka mmoja awe wa kiume na mwingine wa kike,,huku mme wake Kanye yupo tayari kwa lolote kwa ajili YA hayo kutokea.

By Samchris Swai

0 comments:

Post a Comment