Facebook

Wednesday 3 December 2014

Huyu ndiye mchezaji wa kwanza kufanyiwa vipimo kabla ya kusajiliwa Tanzania.

Inawezekana ilishafanyika ila hii ndio mara ya
kwanza naona mchezaji anasajiliwa na kufanyiwa
vipimo hasa kwa timu hizi za kulwa na dotto!
Dan Sserunkuma hapa akifanyiwa vipimo kabla
ya kusaini mkataba!

0 comments:

Post a Comment