Facebook

Friday 5 December 2014

Waziri Membe amaliza rasmi ziara yake ya kidiplomasia

Waziri wa mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh Benard Membe baada ya kukamilisha masaa 72 ya ziara yake ya kidiplomasia katika nchi nne tofauti barani Afrika na kuhudhuria mahafali katika vyuo vikuu viwili tofauti kama mgeni wa heshima Tanzania.
Tazama picha zake hapa chini za kuanzia juzi hadi leo.

0 comments:

Post a Comment