Facebook

Sunday 7 December 2014

Huyu ndiye rapper mwingine aliyetunukiwa shahada ya kwanza ya Chuo Kikuu.

Rapper kutokea kampuni ya Unity Entertainment ambayo iko chini ya A.Y,Stereo
ambaye ameachia wimbo wake uitwao ‘Wako’
aliomshirikisha muimbaji wa Kenya,Victoria
Kimani.

Juzi Des 6 ameongezewa CV yake ya
Elimu baada ya kutunukiwa shahada
ya ‘Bachelor of Science in Urban and Regional
Planning’ kutoka chuo kikuu cha Ardhi Dar es
Salaam.

Hongera sana Stereo.

0 comments:

Post a Comment