Facebook

Monday 22 December 2014

SIR ELTON JOHN AOLEWA RASMI

Sir Elton John amefunga ndoa na mpenzi wake wa zamani aitwaye David Furnish ambaye ni mpenzi wake kwa zaidi ya miaka 20.
Sir Elton John alishare picha ya mwaliko kwa watu wote katika mtandao iliyoandikwa "Sir Elton John and David Furnish request the pleasure of your company to celebrate their wedding on Sunday the 21st of December.”
Pia chini aliandika ujumbe uliosema "Please join us this Sunday @DavidFurnish and I will be posting special moments from our big day.#ShareTheLove #EltonJohn #DavidFurnish.”
Familia ya Beckham pia nao walialikwa kujumuika katika sherehe hiyo.

By Samchris Swai



0 comments:

Post a Comment