Facebook

Thursday 11 December 2014

PICHA:Mapokezi ya Mshindi wa Big Brother Africa 2014,Idris Sultan

 
Mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya mwakilishi wa Tanzania kwenye jumba la Big Brother Africa (BBA) Idris Sultan kujinyakulia ushindi na kupokea Sh.517 million, jioni ya leo karejea kutoka South Africa yalipokua yakifanyika mashindano hayo ya BBA.

Akipokelewa kwa kumbatiwa na Mama yake kwa furaha



Akipokelewa na watanzania kwa furaha kubwa hasahasa mabinti walimpigia shangwe la kuoneshwa kufurahia kwao ushindi wa Idris aliwashukuru na kuwaomba watanzania waendelee kuwa na moyo huohuo wa kusapoti nchi yetu katika mashindano mbalimbali kama ilivyokuwa kwake.


Mama Idris akimpongeza mwanae kwa ushindi









Washabiki na marafiki wa karibu wa Idris wakimsindikiza Idris kwa shangwe




Picha na Octavian Francis

0 comments:

Post a Comment