Facebook

Wednesday 24 December 2014

CIARA AFUTA TATOO YA FUTURE

Ciara amehakikisha kuwa tatoo iliyokuwa na herufi N ikimaanisha Neyvadius jina la aliyekuwa mpenzi wake rapper Future umefutwa kabisa na kuanza maisha mapya kabisa.
Picha za hivi karibuni zimeonesha Ciara akiwa amefuta kila aina ya alama za aliyekuwa mpenzi wake huyo,huku Future akionekana kutoshtushwa na hatua hiyo YA Ciara.
Future pia anayo tatoo yenye herufi "C" ambayo hajaifuta.Wawili hao walitengana mwezi August mwaka huu.

By Samchris Swai


0 comments:

Post a Comment