Facebook

Friday 12 December 2014

Miss Ukonga afariki dunia.


Mjukuu wa Kamanda wa polisi wa zamani mkoa wa Dar es salaam Alfred Gewe ambaye alikuwa ni Miss Ukonga ,Martha Gewe.
Amefariki dunia baada ya malaria kupanda kichwani.Alifariki baada ya kuumwa kwa siku 2.

0 comments:

Post a Comment