Facebook

Sunday 7 December 2014

CHRIS BROWN AACHANA TENA NA MPENZI WAKE,KARUECHE

Inaonekana kama Chris Brown ameachana tena na Karueche ambapo gazeti la Complex limesema Chris amethibitisha yupo single kwenye concert ya Cali  Christmas.
Amekuwa akiachana na kurudiana na Karueche Tran

Lakini wakati huu tena wameachana kwa tweets na picha zenye maneno yanayoashiria hilo.

Mtumiaji mmoja wa Twitter ,Blogxilla aliripoti kuwa Chris Brown aliwaambia mashabiki ‘how many single ladies out there tonight? I'm single too! F*** that b****!’
Naye Karueche alionekana kujibu suala hilo kwa kutweet ‘N****s be in they feelings when you break up with them lol’. 
By Samchris Swai




0 comments:

Post a Comment