Facebook

Tuesday 9 December 2014

Chris Brown ampigia magoti mpenzi wake Karrueche baada ya kuachana.

 
Juzi BantuTz.com na kupitia akaunti yetu ya instagram(bantutzfanspage),tuliripoti kuhusiana na kuachana kwa mastaa wawili Chriss Brown na mpenzi wake Karrueche.
 
Lakini baada ya mastaa hao wawili kumwagana na kuchambana kwenye mitandao ya kijamii kwa kutoleana siri kuhusu uhusiano wao,Chris aliamua kuomba radhi kwa kuandika ujumbe kupitia kwenye akaunti yake ya instagram.

Ni baada ya Chris Brown na Karrueche kuchafuliana kwenye mitandao ya kijamii baada tu ya kuachana.
 

Endelea kufuatilia kila stori na taarifa mbalimbali zinazowahusu mastaa mbalimbali kupitia www.bantutz.com kwa muda na wakati muafaka.

0 comments:

Post a Comment