Facebook

Wednesday 3 December 2014

Sserenkuma rasmi Simba baada ya kunyemelewa na Yanga dakika za majeruhi.

Sinema Ya Sserunkuma:
BamtuTz imepewa taaria kwamba jana
ilibidi Simba wawahi kumsainisha mchezaji
huyu baada ya Yanga kutuma mtu kwenda
Uganda kumsaini Sserunkuma kwa dili zito zaidi,
Simba walipostukia mchezo wakamsafirisha
Sserunkuma na kukamilisha taratibu zote za
usajili!

Aveva amekiri kwamba imebidi wafanye
haraka kutokana na sababu ambazo hakutaka
kuzitaja.

0 comments:

Post a Comment