Facebook

Tuesday, 23 December 2014

Hilo ndilo gari linaloweza kujiegesha kwa kutumia saa.



Hakuna kitu kibaya kama kusahau ulikoegesha gari lako katika jengo la kuegeshea magari lenye gorafa nyingi.
Lakini hivi karibuni hautahihajika kupanda gorofa kutafuta gari lako kwani kampuni ya kutengeza magari ya BMW, imetangaza kuzindia kifuaa ambacho kinaweza kuyawezesha magari ya kampuni hio kujiegesha yenyewe kwa kubonyeza tu kifaa hicho.
Hata hivyo dereva wa gari hilo atalazimika kuvaa saa ya Smartphone mkononi ambayo ataibonyeza na kuiamrisha kwa sauti gari hilo kwenda kujiegesha.

 
Gari hilo kwa amri ya dereva litatoka liliko baada ya dereva kushuka na kwenda lenyewe kwa kuhesabu muda utakalichukua kwenda kutafuta sehemu ya kujiegesha.
Tawi la kampuni ya BMW mjini Munich, Ujerumani limezindua teknolojia hio ambayo inawezesha gari kujiegesha lenyewe.
Gari hilo linatumia miale ya Leser iliyo kujitafutia ramani ya jengo ambalo lipo. Dereva anaweza kuliamrisha gari hilo kwenda kujiegesha kwa kutumia Smartphone.

 
Teknolojia hio inajulikana kama ' Remote Valet Parking Assistant,' na inafanyiwa majaribio kwenye gari la BMW i3.
Badala ya kutumia GPS, teknolojia hio inatumia miale ya Laser ambayo hutengeza ramani inayolisaidia gari hilo kutafuta sehemu ya kwenda kujiegesha.
Teknolojia hiyo inaiwezesha gari hilo kuona njia na nafasi ya kujiegeshea na pia kuona vizingiti mfano kama magari ambayo hayajaegeshwa vyema.
Kwa mujibi wa waliotengeza gari hilo, linaweza kujitafutia nafasi ya kujiegesha na hata kuweza kutambua sehemu ambako kuna nafasi.
Teknolojia hio inatengezwa sambamba na teknolojia nyinginezo zitakazoweza kuzuia gari hilo kugongana na magari mangeine.

Related Posts:

  • 5 essential criteria for a cheap phone package ADVERTISEMENT Does your phone bill significantly have an impact on your monthly expenses? Don’t panic, there are other solutions without breaking a bank. As everyone wants to have a low-cost p… Read More
  • 10 Most Unusual Buildings in the World Buildings are not just structures that people live and work in.  They are pieces of art.  Architects design and engineers build extraordinary art that defy gravity, incorporate extreme creativity, and turn … Read More
  • USITUMIE DAWA AINA YA DICLOPA AU DICLOFENAC. Dawa za Diclopa na Diclofenac zadaiwa kuwa ni hatari kwa matumizi ya binadamu. Imegundulika Vidonge hivyo husababisha kansa ya Ini na Ubongo,Ugonjwa wa moyo, Kiharusi, Vidonda vya Tumbo au kifo cha ghafla. Kwaiyo ndugu zangu… Read More
  • 20 Spectacular images of Storms. Nature is amazing; I leave here a selection of images of those that nature lovers never tire of seeing. … Read More
  • MAAJABU YA DUNIA:BINADAMU AGEUKA MTI Ni miujiza ya Mungu. Mitihani ipo kila kona kwa aina mbalimbali lakini hatutakiwi kukufuru. Tunapaswa kukubali matokeo na kuomba nusura kwa Muumba, kwani kazi yake haina makosa. Binadamu ageuka mti! Unaweza kudhani ni simuli… Read More

0 comments:

Post a Comment