Facebook

Wednesday 24 December 2014

Hatimaye Kourtney Kardashian aweka wazi jina na picha ya mtoto wake wa tatu


Dada wa mke wa Kanye West (Kim kardashian),Kourtney kardashian  amejifungua mtoto wake wa tatu siku ya jumapili ikiwa ni siku moja na tarehe aliyomzaa mtoto wake wa kwanza "Mason".
 
Kourtney aliamuwa kuweka wazi jina na picha hiyo kupitia mtandao wa kijamii siku ya jana
Mtoto huyo wa tatu ambae ni wa kiume amepewa jina "Reign Aston Disick" na kuonyeshwa sehemu ndogo ya mwili wake (mkono) wiki moja baada ya kujifungua kupitia mtandao wa instagram ambao  Kourtney anazaidi ya followers milioni 12.

0 comments:

Post a Comment