Facebook

Tuesday 9 December 2014

Hili ndilo jibu kutoka kwa meneja wa Young Money kuhusu kujitoa kwa Lil Wayne na Tyga katika kundi hilo.


Mtandao wa TMZ umemkamata manager wa Rapper Lil Waye, Cortez Bryant akiwa anatoka kwenye kumbi ya starehe moja huko West Hollywood na kumuliza kuhusu Lil Wayne kujitoa Young Money.

Manager Cortez Bryant alijibu hivi 
“We good,” “I’m smiling. I wouldn’t be out at the club right now” 
akimanisha "Tuko poa ndio maana natabasamu, nisingekuwa kwenye starehe sasa kama mambo yasingekuwa poa”
Alivyoulizwa kuhusu Tyga, ambaye alitangaza kujitoa Young Money pia , alijibu 
 “Tyga’s good too. That’s my brother.” Kwa mujibu wa Bryant, Weezy hana mpango wa kujitoa YMCMB “We good, we staying where we at.”
Sasa nani anasema ukweli ?
 
Endelea kutembelea www.bantutz.com tutakuletea kila kitakachokuwa kinajiri.

0 comments:

Post a Comment