Facebook

Friday 26 December 2014

Nicki Minaj Kwenye Kurasa Ya Mbele Ya Jarida La Rolling Stone huku albamu yake ya ‘The Pinkprint’ ikishika #2 kwenye Billboard



Imekuwa ni wiki ya rappa Nicki Minaj ambaye ameweza kushika vichwa vya habari akitangaza album yake mpya ‘The Pink Print’ .Wiki hii Minaj ameng’ara kwenye kurasa ya mbele ya jarida la Rolling Stone toleo la January 2015 na wanasema mpaka sasa hili ndio 'cover' lenye mvuto zaidi alilowahi kutokea Nicki Minaj.

Kwenye chati kubwa za dunia za album, Nicki Minaj amefanikiwa kushika na 2 kwenye wiki ya kwanza ya kutoka kwa album yake ya Pink Print ikikadiriwa kuuza kopi 150,000 na mpaka sasa imeuza kopi 244,000 .

0 comments:

Post a Comment