Facebook

Friday 26 December 2014

Patcho Mwamba apokea kichapo kizito baada ya kufumaniwa na mke wa mtu


TETESI:Patcho Mwamba Apokea Kichapo Kizito Baada ya Kufumania na Mke wa Mtu

Inasemekana kuwa mwigizaji  na mwanamuziki wa Dansi Patcho Mwamba, amepewa kipigo cha nguvu hadi kumvimbisha uso kama unavyomuona hapo juu, baada ya kufumaniwa na mke wa mtu.
Habari hizi zinaenea kwa kasi zaidi mtandaoni kama moto wa vifuu…hakuna taarifa rasmi japokuwa hadi sasa Patcho au watu wake wakaribu hadi sasa hawajajitokeza  kukanusha taarifa hizi.

0 comments:

Post a Comment