Facebook

Friday 5 December 2014

Unamkumbuka Boro Yeung,hebu muangalie alivyo hivi sasa.

Huyu ndiye Muigizaji wa sinema za mapigano makali aliyevuma sana miaka ya 1990's na mwanzoni mwa miaka ya 2000's Bolo Yeung .

Katika hiyo picha ndivyo alivyo sasa hivi.Ama kweli amekwisha kabisa.

Endelea kutembelea www.bantutz.com uweze kujua maisha ya mastaa mbalimbali ambao hawavumi hivi sasa.

0 comments:

Post a Comment