Facebook

Saturday 6 December 2014

Kauli ya Mh.Benard Membe baada ya Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta kufutiwa kesi na Mahakama ya ICC.

"Ni jambo la heri kwa Kenya kuona rais wao yuko huru dhidi ya mashitaka yaliyokuwa yanamkabili.Umoja wa Afrika tulikuwa na kauli moja.Magharibi wasituingilie katika mambo yetu".Membe!

0 comments:

Post a Comment