Facebook

Saturday 6 December 2014

Huyu ndiye kiongozi pekee kutoka Tanzania mwenye mafunzo ya kijasusi.

Je wajua!?Waziri Membe ndiye mtanzania pekee aliyewahi kupata fursa ya kufanya mafunzo ya kikachero kwa muda wa miezi 6 katika shirika kubwa la kijasusi Uingereza liitwalo Scotland Yard!?

Hii ni baada ya kufaulu kwa asilimia kubwa mafunzo ya ukachero Tiss hapa Tanzania.

Endelea kutembelea www.bantutz.com upate kuongeza maarifa na kujifunza mambo mbali usiyoyajua.

0 comments:

Post a Comment