Facebook

Friday, 5 December 2014

Tajiri azikwa ndani ya gari lake la kifahari Nigeria







Katika siku za hivi karibuni picha za mtu ambaye alizikwa ndani ya gari aina ya Hummer SUV Jeep nchini Nigeria zimekuwa zikienea katika mitandao ya kijamii na kuzua mjadala miongoni mwa raia wengi wa taifa hilo.

Picha hizo zilitoka katika mtandao wa twitter wa msichana mmoja raia wa Kenya anayetumia jina @Sankorie katika mtandao wake ambaye alishangazwa na kusema kuwa wanaume wa Nigeria ni matajiri hadi wengine huzikwa ndani ya magari yenye thamani ya juu,swala ambalo haliwezi kufanyika nchini Kenya.

Je, unadhani ni kweli kwamba mtu anaweza kuzikwa ndani ya gari lake?

Related Posts:

  • Meli yalipuka Bandarini huko Japan...    Mlipuko mkubwa umetokea kwenye meli kubwa ya mafuta nchini Japan katika Pwani ya Kusini Magharibi mwa bandari ya Himeji na kusababisha mtu mmoja kati ya wanane waliokuwa ndani ya meli hiyo kupotea huku wengi… Read More
  • Kumbe mhadhiri UDSM ndio Rais mpya wa Malawi Kwa ushindi wa Profesa Mutharika katika kiti cha urais wa Malawi, anaongeza idadi ya jamii ya wasomi waliopitia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ama wakiwa wahadhiri au wanafunzi, kwani alifundisha chuoni … Read More
  • Serikali yamtuhumu Balozi wa Uingereza  Serikali imetangaza rasmi mgogoro wa kidiplomasia kati yake na Balozi wa Uingereza nchini ikimtaka kujieleza kwa madai ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi. Mgogoro huo ulitangazwa bungeni mjini Dodoma jana… Read More
  • Matamshi kuhusu ubakaji yakera India Matamshi ya mwanasiasa mmoja mwanamke nchini India kuhusu ubakaji yamelaaniwa na watu wengi kote nchini humo. Asha Mirge, ambaye ni mwanachama wa kikundi… Read More
  • Mutharika rais mpya nchini Malawi   Mgombea wa Chama cha upinzani nchini Malawi Peter Mutharika ametangazwa mshindi katika uchaguzi wa urais uliozua utata. Mutharika wa Chama cha Democratic Progressive Party amepata asilimia 36.4 ya kura, imetangaz… Read More

0 comments:

Post a Comment