Thursday, 19 February 2015
Download and Listen New Music: Avril feat Ommy Dimpoz – Hello Baby
Wimbo mpya wa Avril aliomshirikisha Ommy Dimpoz. Umetayarishwa kwa ushirikiano wa Man Water na Ogopa Deejays.
Related Posts:
Marlon Wayans kuwa mshereheshaji wa Tuzo za MTV Africa 2014 Tuzo za muziki za MTV 2014 zinarudi tena na ucheshi toka kwa Marlon Wayans, mchekeshaji mwenye miaka 41 ambae amekuwa kwenye game kwa muda mrefu sana ye… Read More
Mumewe Flora Mbasha ajitokeza, afichua siri kuhusu tuhuma za ubakaji,,, Flora akiwa na mumewe,Emmanuel Mbasha Emmanuel Mbasha, ambaye ni mume wa mwimbaji nguli wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amejitokeza hadharani na kusema kwamba atakwenda polisi mwenyewe kujibu tuhuma dhidi yake za kumb… Read More
Sintah Amchana Irene Uwoya Blogger Sintah Amemchana Irene Uwoya baada ya Picha zake za Mahaba kusambaa Akiwa na Kiserengeti Boy cha THT. Jisomee Alichosema Sintah "Katika dawati letu hatusemi mengi zaidi ya kusema Irene, Irene, Irene???… Read More
Kanisa la ufufuo na uzima latoa tamko lake kuhusu sakata la Mbasha Kwanza tutoe pole Kwa watu wote mliofikwa na maafa mbalimbali pamoja na pole kwa kiongozi na mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe kwa kufiwa na Mama Yake mzazi. Ni wiki sasa pamekuwa na gumzo hapa jijini juu y… Read More
Jux aanzisha tovuti yake rasmi Msanii wa Bongo Fleva Jux amezindua rasmi website yake Mei 31, ikiwa ni njia nzuri ya kuwa karibu na mashabiki wake na kutangaza kazi zake kimataifa. Website ya Jux itakuwa na mambo tofauti kuhusu ye… Read More
0 comments:
Post a Comment