Thursday, 19 February 2015
Download and Listen New Music: Diamond Platnumz feat P - Square - Nakupenda
Msanii wa miondoko ya Bongo Fleva ambaye anazidi kuja juu kila siku Nasib Abdul aka Diamond Platnumz 'Dangote' amesikika tena kwenye ngoma ya "Nakupenda" kukiwa na sauti za mapacha kutoka Nigeria ambao nao wapo juu Poul na Peter kwapomoja wanao unda kundi liitwalo P-Square. Japokuwa ngoma haijajulikana kama ni official release ila ime hit kwenye mitandao mbali mbali na baadhi ya local radios.
Click hapa ku Download New Music: Diamond Platnumz feat P - Square - Nakupenda.
Related Posts:
BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMANNE,APRIL 14. BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoan… Read More
BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMATANO,APRIL 15. BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa ka… Read More
Ben Pol aelezea kuhusiana na "Video" yake mpya ya Sophia.Staa wa muziki Ben Pol, baada ya kuachia video ya ngoma yake inayokwenda kwa jina Sophia, akiwa amekwenda tofauti na ahadi mbalimbali alizokuwa amekwishazitoa awali kuhusiana na video hiyo, amezungumzia utofauti alioamua kuto… Read More
BantuTz MAGAZETINI:SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMATATU,APRIL 13 BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa ka… Read More
Hillary Clinton "Right time for women to make run for the White House" and Jamie Foxx supports her.Hillary Clinton says it's the right time and Jamie Foxx agrees it's the right time -the right time for a woman to make a run for the White House. And the whole election could come down to one word- TRUST! Would you trust a fe… Read More
0 comments:
Post a Comment