Kali hali ambayo si ya kutarajia muuuza mishikaki maarufu Temeke stand ya mabasi Jijini Dar es salaam anaitwa Said mishikaki amekamatwa na nyama ya paka akiwa amikatakata na kuihifadhi katika ndoo kwa ajili ya kuiichoma na kisha kuiuza kama mishikaki.
Tuesday, 17 February 2015
Muuza mishikaki akamatwa na nyama ya paka Temeke.
Kali hali ambayo si ya kutarajia muuuza mishikaki maarufu Temeke stand ya mabasi Jijini Dar es salaam anaitwa Said mishikaki amekamatwa na nyama ya paka akiwa amikatakata na kuihifadhi katika ndoo kwa ajili ya kuiichoma na kisha kuiuza kama mishikaki.
Related Posts:
ZITTO ATAKA TBC KUWAJIBISHWA Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto amependekeza kufanyika uchunguzi wa kiufundi ili kubaini sababu za kukatika kwa matangazo ya moja kwa moja ya kituo cha televishe… Read More
HATI YA MUUNGANO YAWEKWA WAZI.......Hii Hapa... Dar es Salaam. Baada ya mvutano wa muda mrefu bungeni kuhusu ilipo Hati ya Muungano, Ikulu jana iliamua kuitoa hadharani huku ikisisitiza kuwa, “ni halisi na haikuchakachuliwa.” Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni … Read More
MAMIA WAKWAMA UBUNGO........Fuatilia Hapa..... Uharibifu wa barabara uliotokana na mvua zinazoendelea kunyesha, umeendelea kuwatesa wakazi wa Dar es Salaam na mikoa mbalimbali nchini hasa baada ya mabasi ya mikoani kuzuiwa kufanya safari zake jana. … Read More
AJALI YA KUTISHA YATOKEA MAKONGO Leo hii mida ya asubuhi ajali mbaya sana imetokea eneo la Lugalo,Makongo. Baada ya magari kusimamishwa, kuruhusu wanafunzi waweze kuvuka barabara ghafla Lori lilishindwa kusimam… Read More
ANGALIA KATIKA PICHA MAKAMU WA RAIS DKT. GARIB BILAL NA BAADHI YA VIONGOZI WENGINE WALIONUSURIKA KATIKA AJALI WAKIKAGUA MAENEO YALIYOATHIRIWA NA MAFURIKO Makamu wa Rais Dkt.Garib Bilal akiongea na Waandishi wa Habari baada ya kukagua Ujenzi wa marekebisho ya daraja la Mpiji linalounganisha Dar es Salaam na Bagamoyo lililoadhiriwa vibaya na mvua kubwa zinazonyesha … Read More
0 comments:
Post a Comment