Ben Pol ataifanyia video ya wimbo wake ‘Sophia’ mjini Dodoma.
Akiongea na 255 ya Clouds FM, Ben amesema shughuli hiyo itaanza hivi karibuni.
“Video ya wimbo wa Sophia
nitaifanyia mkoani Dodoma kwakuwa uamuzi huo unatoka na ujumbe ambao
uko kwenye wimbo huo ambao unahitaji mazingira ya uhalisia zaidi
yanayopatikana mkoani humo,” alisema. “Kila kitu kipo sawa ila bado sijajua nitashoot na director gani.
Tuesday, 17 February 2015
Ben Pol kushoot video ya ‘Sophia’ Dodoma
Related Posts:
Ney wa Mitego na Diamond kuachia 'ngoma' nyingine hivi karibuni Baada ya wasanii hawa Ney wa Mitego na Diamond Platnumz kufanya poa kwenye ngoma iliyo beba jina la 'Muziki Gani' ambao ulisababisha kukonga sana nyoyo za mashabiki kwa kuonesha uwezo wa muziki wa Bongo Fleva … Read More
BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO FEBRUARI 20 BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa ka… Read More
Ney ataka wasanii nyota kuoynesha mali zao. Ney wa Mitego, mkali wa michano ambaye ameweza kujivunia mafanikio makubwa kutoka katika gemu ya muziki, amesema kuwa amekuwa ni moja kati ya mastaa ambao hutumia mtandao vizuri kuonyesha uhalisia wa maisha na mafaniki… Read More
Mkurugenzi wa Clouds Joseph Kusaga akanusha Clouds kununuliwa na Rostam Aziz na Clouds FM haina chama ! Akijibu swali la Gerald Hando kuhusu na clouds kuhusishwa na CCM amesema Clouds haina chama. Katika mwaka huu wa uchaguzi amesema kila chama kitapewa haki sawa kwenye media yake. Pia Kusaga alisema media yake imekuwa iki… Read More
Download and Listen New Music: Diamond Platnumz feat P - Square - Nakupenda Msanii wa miondoko ya Bongo Fleva ambaye anazidi kuja juu kila siku Nasib Abdul aka Diamond Platnumz 'Dangote' amesikika tena kwenye ngoma ya "Nakupenda" kukiwa na sauti za mapacha kutoka Nigeria ambao… Read More
0 comments:
Post a Comment