Tuesday, 17 February 2015
Msanii Lady Jay Dee afunguka kuhusu umiliki wa EFM Radio 93.7.
Maswali yamekuwa mengi kwa mwimbaji mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva hapa nchin Judith Wambura 'Lady Jaydee' juu ya maisha yake ambapo aliulizwa juu ya kuachana na mumewake lakini pia kuhusiana na kufungua kituo cha matangazo kwa njia ya sauti (Radio) na au umiliki wa EFM Radio inayo patikana kwenye masafa ya 93.7 Fm jijini Dar es Salaam.
Haya ndiyo aliyo sema kupitia account yake ya Instagram.
Ulituahidi utafungua Radio mbona kimya mpaka leo?
JIBU : "Niliandika hiyo kitu siku ya wajinga duniani, April 1, sikuwahi kuahidi.
Lakini matamanio yangu ni siku moja kumiliki kituo cha radio na ikibidi hata television.
Hakuna linalo shindikana, palipo na nia. ������������������������ EFM radio ni yako?
JIBU : Hapana sio yangu
Nafikiri inadhaniwa hivyo kutokana na kila mtu ku tamani, mimi niwe na radio.
Je!mtaniruhusu na mimi niwaulize swali? ???������������
Kwanini mnatamani sana niwe na radio? ?
Mungu akijaalia ntakuwa nayo ���������������� ☝☝☝☝☝☝" Ameandika Lady JayDee.
Related Posts:
Capt.Komba amsifia mkewe baada ya kashfa nzito. “Sijawahi kuona mwanamke mzuri na mwenye imani kama mama Komba ( Salome ) jamani, unajua kulea watoto ambao mama zao wapo … Read More
Malkia ampa heshima kubwa Angelina Jolie. Wachezaji sinema, Daniel Day-Lewis na Angelina Jolie, wametukuzwa na Malkia Elizabeth wa Uingereza katika orodha anayotoa kila mwaka kuwatunza watu wal… Read More
Tattoo ya Danielle de Rossi Tumehamia katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi vitaonekana katika site hii mpya hi… Read More
Jennifer Lopez katika jarida la Billboard kama "msichana" Jennifer Lopez ambaye ana umri wa miaka 44 na mama wa watoto mapacha bado anaonekana kama ni msichana wa miaka 25 hivi kwa jinsi alivyojiweka. J Lo ambaye miaka ya 2000 alikuwa gumzo kwa urembo wake uliowanas… Read More
Wasanii wakifanya yao kwenye jukwaa la Jamhuri Dodoma -TanzaniaNaiamini Diamond Platnumz ni mmoja ya wasanii ambao kiukweli walifanya show kali sana, uwanja mzima ulikuwa full kelele kinoma noma yan wasanii zaidi ya 50 wakiwemo Bongo Movie walifanya yao... Ashlay... Mh. Tem… Read More
0 comments:
Post a Comment