Tuesday, 17 February 2015
'‘Johari'’ amefunguka kuwa kamwe hatarajii kuolewa na staa kama Vicent Kigosi ‘'Ray'
STAA mkongwe katika tasnia ya filamu, Blandina Chagula ‘Johari’ amefunguka kuwa kamwe hatarajii kuolewa na staa kama Vicent Kigosi ‘Ray’ bali anahitaji mume wa kawaida asiye maarufu.
Akizungumza na gazeti kubwa nchini, Johari alisema kuwa kwa upande wake hachagui mwanaume gani wa kumuoa bali tu ajue kumthamini na kumuheshimu kama mwanamke.
Kwanza sihitaji mwanaume wa kunioa awe staa hata siku moja, nataka tu awe wa kunijali na kunithamini na kingine awe mchapakazi kwa kuwa mimi mwenyewe ni mtafutaji,” alisema Johari.
Awali, Johari aliwahi kuripotiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na nyota wa filamu, Ray na kuachana baadaye. Kama ni hivyo basi mapenzi yao yalikuwa ni ya ‘boyfriend’ na ‘girlfriend’ na wala si ndoa.
Related Posts:
Lupita Nyong'o alamba dili lingine Ndani ya uhusika wake katika filamu huyo Lupita atavaa uhusika akitambulika kama Raksha ambayo taarifa zaidi ni kwamba filamu itaingia rasmi sokoni mwezi Aprili mwaka 2016, itahusisha pia mastaa wengine wakubwa k… Read More
Bacary Sagna aeleza sababu ya kunyoa rasta zake.Bacary Sagna alikua anatambulika kirahisi kwa rasta zake ambazo zilikua na rangi. Sasa akiwa kwenye mapumziko ya likizo baada ya msimu uliopita alinyoa rasta zake na picha yake kusambaa sana kwenye mtandao ya kijamii. Sasa ak… Read More
Kiongozi wa kriket duniani afariki duniamRais wa bodi ya Kriket ya India Jagmohan Dalmiya amefariki dunia. Dalmiya mwenye miaka 75 alifikishwa hospitalini siku ya Alhamisi wiki iliyopita kutokana na maumivu ya kifua huku akilazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi.… Read More
Mshuhudie Msanii Kingwendu Ngwendulile katika harakati zake za Kisiasa.Ni baada ya msanii huyo kujitosa kugombea Ubunge kupitia tiketi ya Chama cha CUF. … Read More
Msanii Emmanuel Mbasha apiga magoti akilia baaada ya kuachiwa huru katika kesi ya Ubakaji.Msanii wa muziki wa Injili, Emanuel Mbasha akiwa amepiga magoti akilia hapo jana baada ya kuachiwa huru katika kesi ya ubakaji iliyokuwa inamkabili kwenye mahakama ya wilaya ya ilala. … Read More
0 comments:
Post a Comment