Thursday, 19 February 2015
Ney wa Mitego na Diamond kuachia 'ngoma' nyingine hivi karibuni
Baada ya wasanii hawa Ney wa Mitego na Diamond Platnumz kufanya poa kwenye ngoma iliyo beba jina la 'Muziki Gani' ambao ulisababisha kukonga sana nyoyo za mashabiki kwa kuonesha uwezo wa muziki wa Bongo Fleva na Hip Hop, sasa inaonekana wakali hawa wanaweza kuwa wapo mbioni kwaajili ya kufanya ngoma nyingine.
Related Posts:
BantuTz MAGAZETINI:-Soma kilichoandikwa katika magazeti yote ya leo Alhamis,Mei 21. MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau wote wa Bantu waweze kusomana kupitia kurasa za magazeti mbalimbali nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma kupata habari nuhimu… Read More
BantuTz MAGAZETINI:-Soma kilichoandikwa katika kurasa za Magazeti mbalimbali ya leo Jumamosi,Mei 16. MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau wote wa Bantu waweze kusomana kupitia kurasa za magazeti mbalimbali nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma kupata hab… Read More
Bingwa wa muziki wa 'Blues' duniani afariki dunia.B.B. King - ambaye anatambuliwa kuwa bingwa wa muziki aina ya Blues ulimwenguni amefariki akiwa na miaka 89. Jinsi anavyocheza gita lake kuliathiri pakubwa kizazi cha wacheza gitaa. Alizaliwa Mississippi huko Marekani kulikok… Read More
BantuTz MAGAZETINI:Soma kilichoandikwa katika magazeti mabalimbali ya leo Jumatano,Mei 13 2015. BantuTz MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau wote wa Bantu waweze kusomana kupitia kurasa za magazeti mbalimbali nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma kupata … Read More
BantuTz MAGAZETINI:Soma kilichoandikwa katika magazeti yote ya leo Jumatano,Mei 20. MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau wote wa Bantu waweze kusomana kupitia kurasa za magazeti mbalimbali nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma kup… Read More
0 comments:
Post a Comment