Facebook

Monday, 14 July 2014

FIFA yazuia Suarez kutambulishwa Barcelona.

 Photo: Fifa imezuia mipango ya Barcelona kumtambulisha rasmi Luis Suarez mbele ya mashabiki kwenye dimba la Nou Camp.  Fifa imesema adhabu aliyopewa haimruhusu kujihusisha na shughuli zozote za soka.
Mwaka jana Neymar alitambulishwa mbele mashabiki 90,000 kwenye uwanja wa Nou Camp.
Fifa imezuia mipango ya Barcelona kumtambulisha rasmi Luis Suarez mbele ya mashabiki kwenye dimba la Nou Camp. Fifa imesema adhabu aliyopewa haimruhusu kujihusisha na shughuli zozote za soka.
Mwaka jana Neymar alitambulishwa mbele mashabiki 90,000 kwenye uwanja wa Nou Camp.

0 comments:

Post a Comment