Facebook

Thursday 31 July 2014

Young amwagia sifa Van Gaal.

 Photo: Ashley young afurahia majukumu mapya anayo pewa na Van Gaal
   Young amekua mchezaji mwenye nidhamu ya kimchezo miaka yote ,na amekua akichaguliwa mara kwa mara na Sir Alex ferguson katiki mechi kubwa za ugenini na amekua akiwapa wakati mgumu mabeki wengi wa pembeni kwa spidi na umakini wake awapo na mpira,mapema wiki hii LVG alisema tofauti na ma winda wengine ,Young anaweza tumika kama Back wing yani winga beki na ana fiti vizuri katika staili ya 3-5-2.
  akiwa amecheza kwa dakika 45 katika nafasi hiyo dhidi ya Roma,mchezaji huyo alicheza dakika 90 dhidi ya Intermilan,na mwisho wa mchezo alikuwa na haya y akusema 
"imekua vizuri sana kucheza katika nafasi tofauti,nilianza kama winga wa kushoto [dhidi ya Inter] na kumalizia kama winga wa kulia,naweza kucheza nafasi zote za winga na kama kocha akitaka mimi nifanye kitu nina kila sababu yakujiamini nakufanya kile atakacho niagiza na kucheza vizuri" 
pia Young alimsifia kocha Van Gaal kwa uwezo wake mkubwa wa uongozi
"siku zote huwa ni vizuri kusikia kocha anakusifia na pale kocha anapo weka uaminifu kwako na kukuweka uwanjani ucheze,kucheza vizuri nilazima ili kumlipa kwa uaminifu na hicho ndicho ambacho nakitalajia kukifanya kila ninapo vaa jezi ya United"
"tumefurahishwa kwa kupata ushindi mwingine{dhidi ya Intermilan] kwenda kupiga penati ya kwanza ilikua changamoto kwangu na nilikua najiamini kua ntakwenda kufunga,nimekua nikifanya mazoezi ya penati na nilikua najua wapi nnapo kwenda kufungia"

#yapi maoni yako juu ya maneno haaya ya Ashley Young
Ashley Young afurahia majukumu mapya anayo pewa na Van Gaal
Young amekua mchezaji mwenye nidhamu ya kimchezo miaka yote ,na amekua akichaguliwa mara kwa mara na Sir Alex ferguson katiki mechi kubwa za ugenini na amekua akiwapa wakati mgumu mabeki wengi wa pembeni kwa spidi na umakini wake awapo na mpira,mapema wiki hii LVG alisema tofauti na ma winda wengine ,Young anaweza tumika kama Back wing yani winga beki na ana fiti vizuri katika staili ya 3-5-2.
akiwa amecheza kwa dakika 45 katika nafasi hiyo dhidi ya Roma,mchezaji huyo alicheza dakika 90 dhidi ya Intermilan,na mwisho wa mchezo alikuwa na haya y akusema
"imekua vizuri sana kucheza katika nafasi tofauti,nilianza kama winga wa kushoto [dhidi ya Inter] na kumalizia kama winga wa kulia,naweza kucheza nafasi zote za winga na kama kocha akitaka mimi nifanye kitu nina kila sababu yakujiamini nakufanya kile atakacho niagiza na kucheza vizuri" 
 
Pia Young alimsifia kocha Van Gaal kwa uwezo wake mkubwa wa uongozi
"siku zote huwa ni vizuri kusikia kocha anakusifia na pale kocha anapo weka uaminifu kwako na kukuweka uwanjani ucheze,kucheza vizuri nilazima ili kumlipa kwa uaminifu na hicho ndicho ambacho nakitalajia kukifanya kila ninapo vaa jezi ya United"

"tumefurahishwa kwa kupata ushindi mwingine{dhidi ya Intermilan] kwenda kupiga penati ya kwanza ilikua changamoto kwangu na nilikua najiamini kua ntakwenda kufunga,nimekua nikifanya mazoezi ya penati na nilikua najua wapi nnapo kwenda kufungia"

0 comments:

Post a Comment