Facebook

Friday 25 July 2014

Uhasama kati ya Israel na Palestina waendelea hadi kwenye soka,Wanamgambo wavamia Uwanjani na kuanza "kuzichapa"

NEWS : Altercation Lille vs Maccabi Haifa - 07/23/2014Waandamanaji wanaowaunga mkono Wapalestina walivamia uwanja na kuanza kuwashushia kipigo wachezaji wa klabu ya Israel ya Maccabi Haifa iliyokuwa inacheza mechi ya kirafiki na klabu ya Lille ya huko Ufaransa.Mchezo huo ulikuwa unapigwa katika dimba lililo Austria 

Ugly scenes: Protestors attack the Maccabi Haifa players forcing the game to be called off earlyBrawl: Protestors and Maccabi Haifa players clash after the game is stoppedMechi hiyo ilihairishwa baada ya Waandamanaji hao wenye asili ya Uturuki kuvamia na kuanza kuwashushia kipigo Wachezaji wa Maccabi Haifa,lakini wachezaji hao na wao waliamua kuwatolea uvivu waandamanji hao na kuanza kupigana uwanjani.Hitting back: Several Maccabi Haifa players were spotted fighting back after being attackedTension: Pro-Palestinian supporters attacked the Maccabi Haifa players

Tukio hilo limetokea kutokana na uhasama mkubwa unaoendelea huko mashariki ya kati,ambapo Israel inaendelea kuvamia na kufanya uharibifu mkubwa huko Gaza dhidi ya kikundi cha Kipalestina cha Hamas.
Mashambulizi: Waandamanaji walivamia uwanja na kuanzisha dhoruba ya kuwashambulia wachezaji wa  Maccabi Haifa
MECHI kati ya timu Israeli ya Maccabi dhidi ya Lille ya Ufaransa iliahirishwa baada ya waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina kuvamiwa uwanja.
Waandamanaji hao walioripotiwa kuwa na asili ya Uturuki waliingia katika uwanja wa Austrian ambapo mchezo ulikuwa unaendelea na kuwavamia wachezaji wa Maccabi na kuzua vurugu.
Mmoja wa wachezaji alionekana akizozana na shabiki kabla ya kuanza kurushiana makonde mazito.
Hata hivyo wachezaji wa Maccabi walifanikiwa kutoka uwanjani bila kujeruhiwa.
Tukio hili limekuja wakati huu ambao majeshi ya Israel yamevamia na kufanya uhalifu dhidi ya majeshi ya Hamas huko Gaza. 
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=4034#sthash.Dgv6lhIy.dpuf

ISRAEL NA PALESTINA `BIFU` HADI KWENYE SOKA…WAANDAMANAJI WAVAMIA UWANJA NA KUZIPIGA NGUMI `KAVU KAVU` Kimataifa

NEWS : Altercation Lille vs Maccabi Haifa - 07/23/2014

Ugly scenes: Protestors attack the Maccabi Haifa players forcing the game to be called off early
Brawl: Protestors and Maccabi Haifa players clash after the game is stopped
Hitting back: Several Maccabi Haifa players were spotted fighting back after being attacked
Tension: Pro-Palestinian supporters attacked the Maccabi Haifa players

0 comments:

Post a Comment